Saturday, October 23, 2010

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Nikiwa na 'Presidaaa' wa LEICESTER UK, MECKY Malovee na rafiki yake BILAL 'MASHAUZI' heee heeeee...

Hapa ni siku mshkaji wangu DJ LIBE na 'Shemeeejiiii' ambao ni wadau wa COVENTRY UK waliponitembelea pale kwangu KINYAIYA'S PUB Kinondoni nyuma ya Mango Garden, ilikuwa safi sanaaaa...

Nikifurahi na swahiba zangu 'Mabrazamen' wa Bongo Flava,kuanzia kushoto ni MATONYA, DULLY SYKES na MIE atiiii...

Nikipoouz na mshkaji wangu VICENT KIGOSI aka ray, mcheza filamu 'nyoko' nchini...

No comments:

Website counter