Monday, October 11, 2010

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Apa najiachia na swahiba wangu AUNT EZEKIEL, mcheza Filamu 'nyoko' wa kike nchini...


Na hapa najiachia na mshkaji wangu JACOB STEPHEN aka 'JB', nguli mwingine wa Filamu Bongo weeweeeee...

Navunjika Mbavu na swahiba 'MATONYA', mmoja kati ya wana 'Bongo Flava' nyota wa Bongo ambaye ameniambia anakwenda UK wiki hii kufanya Show, daa safi sanaa iyo...

No comments:

Website counter