Wednesday, October 13, 2010

JAMANI JAMANI TUNAELEKEA WAPII KINAMAMA...


Mmmh wakimama ebu semeni wenyewe tunaelekea wapi kwa mtindo huu? Ebu angalia aina ya 'Ch...i' zilizokuwa zinavaliwa enzi izo na hizi za sasa za miaka hii, je tunakoelekea si mtakuja kutembea uchi jamani....

3 comments:

Anonymous said...

Ben naona wewe chupi yako ni hiyo ya 2006 ya kijikamba .

Anonymous said...

Ben mpenzi,
mbona chupi za 2010 hujaziiiona nini??? ni miondoko ya thong then new design ni ki lace tu kinafunika mbele nyuma hakuna kitu, unaacha kijambio kipate upepo,

nitakutumia picha ila usinitoe sura.


Aunt T

Anonymous said...

Kaka yunaelekea kuvaa kingozi kama cha wazulu

Website counter