Monday, October 18, 2010

ALICIA KEYZ NAE APATA 'MGENI'...


Mwanamuziki maarufu wa Marekani ALICIA KEYZ juzi jijini NEW YORK alijifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume aliyempa jina la EGYPT DEAN. mume wa mwanamuziki huyo Produce SWIZZ BEATS ameelezea kufurahia sana 'Ugeni' huo mpya katika ndoa yao ingawa yeye ana watoto 3 tayari lakini kwa ALICIA huo ni mzao wake wa kwanza daaah...

No comments:

Website counter