Wednesday, October 27, 2010

DAAH HUYU NAE ANASUBIRI 'KITANZI' SOON....


Naibu waziri mkuu wa zamani wa serikali ya Marehemu SADDAM HUSEIN wa IRAQ bwana TARIQ AZIZ amehukumiwa kunyongwa na mahakama kuu ya IRAQ leo hii. Namkumbuka sana mzee huyu kama mmoja kati ya mawaziri 'waongo' sana kuwahi kutokea Duniani na haswa kwa kauli zake tata alizokuwa akizitoa wakati ule wa Vita kati ya Marekani na Iraq! Hata ivyo bwana Tariq Aziz amepewa siku 30 za kukata rufani ya hukumu yake, kwahiyo tusubiri kuona la sivyo akizubaa basi Kamba ya 'Shingoni' na 'kistuli' kinasubiri Duuh....

1 comment:

Anonymous said...

sie huyo kaka ni huyu uwe unapitia wikipepia sio unajiandikia tu
Mohammed Saeed al-Sahhaf (Arabic: محمد سعيد الصحاف‎ also Mohammed Said al-Sahhaf) (born 1940) is a former Iraqi diplomat and politician. He came to wide prominence around the world during the 2003 invasion of Iraq, during which he was the Iraqi Information Minister under Iraqi dictator Saddam Hussein, acting as the mouthpiece for the Baath Party and Saddam's regime. He is best known for his grandiose and grossly unrealistic propaganda broadcasts prior to and during the war, extolling the invincibility of the Iraqi Army and the permanence of Saddam's rule. His announcements were intended for an Iraqi domestic audience subject to Saddam's cult of personality and total state censorship, and were met with widespread derision and amusement by Western nationals and others with access to up-to-date information from international media organizations.

Website counter