Thursday, July 1, 2010

MJUE BITOZ ALIYEVUNJA NDOA YA BEKI ASHLEY COLE WA ENGLAND...


Penzi lao hivisasa linazidi kuchanua kiasi kwamba bibi ameshindwa hata kwenda Africa ya Kusini kuangalia mechi za timu ya England iliyotolewa juzi na Germany! Apa kwenye picha hii naona bwana DEREK alikuwa anaona kama vile ataibiwa kimwana wake CHERLY COLE kama yeye alivyomuibia Fullback huyo wa kushoto wa ENGLAND inayopanda na kushuka ASHLEY COLE

Jmaa hivi sasa anakaba mpaka Penalti duuh...

Mtoto akisafiri kokote na yeye yumo 2 looh...

1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli mi nadhani story ni kuwa Cole ndie alicheat na sio huyu dada, na hapa it looks kuwa amepata kwa kumpenda.

Website counter