Thursday, July 1, 2010

WADAU MNAMKUMBUKA HUYU BWANA....


Anaitwa EMANUEL GABRIEL MWAKYUSA aka Batgoal, mshambuliaji hatari wa zamani wa SIMBA na timu ya Taifa TAIFA STARZ ambazo alizichezea kwa mafanikio makubwa na ivi sasa jina lake limefifia kutokana na kwenda mkoani Arusha kuichezea AFC na kwenda kuipandisha daraja timu hiyo maarufu mkoani humo na hatimaye kuipandisha ligi kuu mwaka huu, na uongozi wa timu hiyo kwa kutambua umuhimu wake umeamua kumwomba awe nao tena msimu huu wa ligi ili aweze kutumia uzoefu wake kuisaidia kwenye ligi kuu msimu huu! Je wadau wa soka mnamkumbuka huyu bwana na ufundi wake uwanjani?...

No comments:

Website counter