
 Tukiwa hewani jumamosi iliyopita, ilikuwa hatariii...

 Hatarii nakwambia....

Cameraman Kissoki akiwa mzigoni...

Mwanamuziki Khalid Chokoraa na winga wa Yanga Shamte Ally wakiwa tayari kuingia kwenye Kipindi tayari kwa makamuzi...

Ebwnaa eeeh si cha kukosaaa....
 
7 comments:
mimi nawafagilia sana
kazi njema, ni hayo tu kwaleo
violet
uuuh mnavutia sana.
uuuh mnavutia sana.
pliz Ben na Mai, muwaombe Tbc1 wabadilishe muda wa kipindi ikiwezekana kihamie saa2 na nusu usku same day,kwani muda huo watazamaji wengi tunakuwa majumbani mwetu, but muda wa sasa wengi tunakuwa bado tuko mtaani kuzisaka. kipindi chenu kitafunika sana,kila la kheri. fanyia kazi ambi langu.
naomba kueleweshwa kipindi hiki kinarushwa katika channel ipi? nawafagilia kinoma na mnamatch sana mkiwa pamoja, keep it up
jamani mmehama eatv?tuambie benny...nawapendaga mnapendezana kisana tu
sio siri mimi niko na nyinyi toka EATV nawakubali mnoooooooooooooo mko juu mazee
Post a Comment