Tuesday, June 1, 2010

Nilipoitembelea MACHOZI BAND pale Thai weekend iliyopita...

Nikiwa na Comaandoo JIDE aka MANKA aka BINT MACHOZI aka WALLET aka MAMA SOMEFOOD, tukipata moja moto...Nikiwa na rafiki yangu Captaain Gadna G, jahazi clouds fm...

Mtaalamu wa vocal Jonico Flower akiwajibiuka jukwaani pale Thai...


Pozi za Sam wa Machozi Band...



Mao Santiago na Mwinyi wanakilisha Machozi Band kwa saanaaaa...




Website counter