Tuesday, June 8, 2010

Misele mitaa kama kawa...

Nikiwa na Kiongozi wa wanenguaji wa Twanga Pepeta Super Nyamwella alierudi majuzi kutoka Africa Kusini alikoenda kimuziki...
Nikiwa na Muimbaji na Rapa wa Twanga Pepeta Khalid Chokoraa...
Rapa wa Akudo Impact Totoo ze Bingwa akighani kwa hisia kali...
Wanenguaji wa Akudo Impact wakiwa kazini ndani ya Msasani Beach club juzi...
Kiongozi wa Akudo Impact Christian Bella akiwajibika jukwaani na wacheza shoo wake...

No comments:

Website counter