 Nikiwa na mtangazaji Ephrahim Kibonde wa Cloud FM Jahazi...
Nikiwa na mtangazaji Ephrahim Kibonde wa Cloud FM Jahazi... Nikiwa na mwamamuziki kutoka Kenya WAHU aliekuja kwenye uzinduzi wa Chegge wa TMK....
Nikiwa na mwamamuziki kutoka Kenya WAHU aliekuja kwenye uzinduzi wa Chegge wa TMK.... Nae mwanmuziki Michael Ross kutoka Uganda
Nae mwanmuziki Michael Ross kutoka Uganda Nikiwa Shyrose Bhanji tukila pozi, na ameniambia kwenye uchaguzi wa mwaka huu atagombea Ubunge wa Kinondoni akipambana na mbunge wa sasa Mh. Idd Azan...
Nikiwa Shyrose Bhanji tukila pozi, na ameniambia kwenye uchaguzi wa mwaka huu atagombea Ubunge wa Kinondoni akipambana na mbunge wa sasa Mh. Idd Azan... Mapooozzz... kuanzia kushoto kwenda kulia ni Jaffarai, Shyrose, Lady Jay dee, mimi na Gadna G...
Mapooozzz... kuanzia kushoto kwenda kulia ni Jaffarai, Shyrose, Lady Jay dee, mimi na Gadna G...
 
No comments:
Post a Comment