Saturday, June 5, 2010

Mambo ya Twanga Pepeta Bilcanaz juzi.

Nikiwa na mshkaji wangu Chai chai pale Bilcanaz...
Rapa Fergason wa Twanga Pepeta akighani huku Msafiri Diof akimchec na Shakashia

Ni kicheko na washkaji, Vengu wa Ze Comedy na mdau mwingine...


Kalala Junior akimwaga uno la nguvu stejini, jamaa hodari sana ila alichoniuzi ni kumkata mtoto wake hadharani kisa kaachana na mama mtoto wake, ama kweli duniani kuna mambo...




Aisha Madinda wa Twanga Pepeta bado yumo na anawapeleka puta sanaa 2 chipukizi kwa mauno yake ya hatarriiii...



1 comment:

Anonymous said...

ben jamani mbn doif anazidi kwisha nini mbaya??????????

Website counter