m
 Nikiwa na Ray Kigosi mzee wa mafilamuz ndani ya Bilz...
Nikiwa na Ray Kigosi mzee wa mafilamuz ndani ya Bilz... Apa na mshkaji Pacha, mmoja kati ya mapacha maarufu kwenye kumbi za starehe na wanaofanana kama mayai kama huwajui vizuri duuh...
 Apa na mshkaji Pacha, mmoja kati ya mapacha maarufu kwenye kumbi za starehe na wanaofanana kama mayai kama huwajui vizuri duuh... Niko na shotie, mpenzi maarufu wa Twanga pepeta ila tabu yake akishalewa anakuwa na vurugu sana na laiti kama angekuwa na mwili mkubwa angekuwa mtata sanaa...
 Niko na shotie, mpenzi maarufu wa Twanga pepeta ila tabu yake akishalewa anakuwa na vurugu sana na laiti kama angekuwa na mwili mkubwa angekuwa mtata sanaa... 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment