Wednesday, June 30, 2010

JUA LA SUMMER INAVYOWACHANGANYA WAZUNGU...


Hata Mbwa nao wanafurahia weather ya sasa apa Ulaya...
Huyu nae alikuwa amelewa mchana kweupeee na jua lote duuh...

Nami sikujivunga bwana alaaah...

Huyo kibonge nilimshuhudia akitoka kwenye mgahawa kupiga Baga zake 2 saafiiii alafu akamchukua shoga yake then haoooo...

Wengine wanatamani kukaa uchi kabsaaa ila basi 2...

1 comment:

neema said...

Jamani mawifi tunataka kumjua wifi etu,twaskia tu umeowa umeowa ila wifi hatumuoni,inakuwaje?

Website counter