Thursday, June 17, 2010

JOEVIC PUB KUFANYA OPENING PART JUMAMOSI HII...


Uongozi mzima wa JOEVIC PUB iliyoko opposite Mediterraneo Hotel pale Kawe Beach unakualika kwenye free Cocktails and Snacks siku ya jumamosi hii tarehe 19 june kuanzia saa 7:00pm usiku mpaka saa 11:00pm, kwa mawasiliano zaidi mchec meneja wa pale kwa namba 0772 222 777 au 0656 881 144.

Apa ni sehemu ya ndani ambayo ni full uasilia ili kukufanya uenjoy na ndio maana wazungu huwa wanapapenda sana apa...
Apa pia ni kwa ndani ambako pia yale mambo yetu wa World Cup unaweza kuchekia hapa bila presha atii...

Na Caunta ziko 2 ili kufanya huduma ziwe za haraka zaidi kwa mteja, Wooote mnakaribishwa tujumuike pale siku ya Jumamosi hii.

No comments:

Website counter