Friday, June 11, 2010

BIFU LA TWANGA NA FM ACADEMIA KUIBIANA WANAMUZIKI LAINGIA PABAYA...

Nikiwa ndani ya ukumbi wa San Siro kule Sinza kuserebuka na wazee wa Ngwasuma FM ACADEMIA the dream team wazee wa mujini...

Huyu anaitwa Chid Ngoma alienyakuliwa kutoka bendi ya TOT PLUS ya Capt KOMBA duuh...

Nikiwa na wacheza shoo wa Fm Academia tukila pozi pamoja na wale walionyakuliwa kutoka Twanga Pepeta...


Huyu anaitwa Mwantum alienyakuliwa kutoka Twanga Pepeta juzijuzi kama kulipa kisasi kutokana na Twanga nao kuwaiba wacheza shoo 3 wa FM ACADEMIA...




Hawa wote 3 wamenyakuliwa kutoka Twanga Pepeta, kuanzia kushoto ni MWANTUM, TITI NA FATMA...




No comments:

Website counter