Thursday, September 29, 2011


Mwigizaji huyu anayependwa sana na wakina Dada ameshaoa jamani na amejaaliwa kupata watoto 3! Kwaiyo kama kuna siku ulikuwa na ndoto 'MBAYA' na yeye basi imekula kwako...

1 comment:

Anonymous said...

hata kama kaoa tutabanana nae tu mkewe hakuna linaloshindikana

Website counter