Huyu Bidada anaitwa GENEVIEV NNAJI, ni mcheza Filamu nyota wa kike kuliko woote nchini NIGERIA! Alizaliwa mjini MBAISE uliyo katika jimbo la IMO STATE nchini Nigeria mnamo Tar 3 may 1979 akiwa ni mtoto wa 4 kati ya wanane katika Familia yao. Ameshashiriki kucheza Movie nyingi saanaaa na ndie mcheza Filamu anayelipwa pesa nyingi kucheza kwa Filamu moja! Na kwasababu ya Urembo wake ameshafanya matangazo ya Bidhaa kibao kama vile Vinywaji, Sabuni na Mafuta ya urembo!
1 comment:
huyu jamaa si mtu wa mizigo mikubwa huyu sasa hiki kibajaji kitamfaa kweli,maana alikwama kwa dadaetu mmoja mwenye bonge la mzigo ambae ukimliganisha na geneviev nia sawa na mtu wa uzito wa unyoya ukamlinganisha na heavy weight!
Post a Comment