Wednesday, August 31, 2011


Kila 'SAMPURI' zilikuwepo! Usiniulize Sampuri za nini alaaah...

Daaah kwenda 'TOILET' nayo kulikuwa na Foleni ndeeefuu lloh...

'KOJO' likibana kila mtu anakaa kwa Pozi lake kudaadekiii...

Nimekwambia kila 'SAMPURI' zilikuwepo ohoooo...

No comments:

Website counter