Monday, August 22, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yaap kujiachia ni kama kawa banaa, hapa nikiwa na rafiki zangu kina AUNT EZEKIELE, SAJENT, NDENDE na winga wa timu ya Simba UHURU SELEMAN...

Nikiwa na Swahiba wangu ambaye ni Golikipa namba moko wa timu ya Simba na Taifa Starz JUMA KASEJA JUMA...

'Hii ni Chocolate Flava' Mie na mtaalam BOB JUNIOR, rais wa 'MASHAROBARO' nchini haaa ahaaaa...

Yeeaaah, hapa nikiwa na rafiki yangu kitambo sana wkt natangaza East Africa TV, mdogo wangu DOMINICK NYALIFA pamoja na mtaalam KONDO ambaye ni producer pale EATV ya jijini Dar...

No comments:

Website counter