Wednesday, April 20, 2011

SIKU BONGO MOVIE QUEEN WALIPOWATOA 'JASHO' WAKONGWE TTCL...


Pichani kuanzia kushoto ni CLOUD, MIMI na KANUMBA ambao tukiwa kama viongozi wa Timu nzima ya BONGO MOVIE CLUB huwa tunapeana TAFU kwenda kushangiliana wakati wa mechi mbakimbali tunazocheza, na kwa mfano ni weekend iliyopita madada zetu wa Netball wa 'BONGO MOVIE QUEEN' walipocheza mechi na kufungwa kwa 'TAAABU' magoli 48 kwa 36 na timu ya TTCL pale kwenye uwanja wa TTCL kijitonyama tulienda kuwashangilia pamoja na wasanii wengine kibaaoooo...

Mmmh WAVIVU utawajua tu maana wengine tumesimama tunashangilia wao wamekaa haaa ahaaaa ila tunaonyesha umoja wetu, pichani kuanzia kushoto ni TINO, RAY, RICHIE RICHIE, CHIKOKA na STEVE NYERERE wakiufatilia kwa makini mchezo unavyoendelea...

STEVE NYERERE na MAINDA nao walikuwepo, na vimo vyao pia vinalingana daaah...

Nguli JAQ WOLPER akionyesha Ufundi uku SHILOLE akiwa tayari kutoa msaada...

No comments:

Website counter