Thursday, April 21, 2011


Pichani nikiwa na kiungo nyota wa Timu ya MANCHESTER CITY ya England YAYA TOURE ambaye majuzi mashabiki wa MAN UTD 'hawatamsahau' baada ya kuwafanyia 'kitu' mbaya saanaaaa kwa bao lake maridadi na halikurudi NG'OOOOOO! Ni rafiki yangu mzuri yeye na kaka yake KOLO na mpaka leo tunawasiliana vizuri ila jamaa ni mpole ajabu daah...

No comments:

Website counter