Thursday, April 21, 2011

MJUE 'MUUAJI' WA MANCHESTER UNITED YAYA TOURE...


Anaitwa GNEGNERI YAYA TOURE, kiungo nyota wa zamani wam Barcelona mabaye kwasasa Anaunguruma kwenye 'DIMBA' la kati la Timu ya MANCHESTER CITY ya England. Alizaliwa tar 13 May 1983 kule Sekoura Bouake nchini IVORY COAST akiwa ni mtoto wa pili kuzaliwa akitanguliwa na kaka yake mkubwa KOLO TOURE ambaye pia anaichezea MAN CITY na kisha mdogo wake aitwae IBRAHIM TOURE anayeichezea Timu ya MAKASA ya kule kwao Ivoty coast. Ni kiungo nyota mwenye nguvu ambaye majuzi tu alipeleka kilio kwa 'MANAZI' wa Timu ya MAN UTD kwa bao lake 'maridaadiii' ambalo mpaka mwisho wa mchezo 'HALIKURUDI' NG'OOOOO!

No comments:

Website counter