Wednesday, February 2, 2011

MAPACHA 3 WALIVYOMWAGA 'RADHI' JANA NDANI YA UFUKWE WA COCO BEACH...


Huyu ni Mnenguaji mpya wa MAPACHA 3 aitwae SABRINA ambaye mwanzo alikuwa kwenye Bendi ya Twanga Pepeta ila sasa yupo na Mapacha 3 kuendeleza Libeneke ila icho 'kivazi' jamani mmmh...

JOSE MARA mtoto wa Kimara akimwaga 'UNO' la kufa Ngedere kama sio m2 iyo jana ndani ukumbi wa COCO BEACH, ilikuwa Hatwaariiii nakwambia...

Ni 'Sebene' kwa kwenda mbeeleeee...

Duuh huyo wa mbele anayerembua ni bibie mmoja anaitwa HALIMA 'KIMWANA' ambae naona hali yake imekuwa 'TETE' baada ya kuranduka kilaji, na huyo wa nyuma yake anaitwa HABIBA akiwa na Meneja wa Mapacha Band HAMIS DAKOTA , wanacheeekaaaa lol...

No comments:

Website counter