Wednesday, January 26, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Huyu ni kaka yangu wa 'Hiyari' na rafiki yangu wa ukweli anaekwenda kwa la 'Patrol' CHALLE MTAWALI, na hapa akiwa ofisini kwake pale Morocco, ni mfanyabiasha wa ukweli mwenye kuuza magari ya aina zooote Duniani hata ukitaka HAMMER, FERRARI au LAMBOGHINI utayakuta kwenye 'Show rooms' zake zilizotapakaa kila kona ya jiji la Dar na hata Bei yake sio ya 'NJAA' kiivyoo, na kama huamini tembelea 'show rooms' zake za 'CM MOTORS' Kinondoni B pale Biafra na Morocco utaona jeuri yake huyu bwana, ANATISHAAAA...

Huyu ni Pedeshee HUSEIN 'MACHENI' TENDEGA! Nadhani watu wa hapa mjini mlishalisikia jina lake kwa sanaa na pia anamiliki Bar maarufu ya 'Kwa Macheni Bar' pale magomeni jijini Dar, ni m2 muungwana sanaa...

No comments:

Website counter