Saturday, December 11, 2010

NILIPODUWAZIKA NA MACHOZI BAND JANA USIKU MZALENDO PUB...


Yaaap kazi na dawa banaaa, ni ndani ya Mzalendo Pub nikiwa na Capitaaiiiiin GADNA G na BINT MACHOZI, LADY JAY DEE...

Hapa akaongezeka m2 mzima TOM mwana Dar, ilikuwa Hatwaariii nakwambia jana usiku...

Binti Machozi akiwa kazini, kushoto MAO SANTIAGO na kulia ni BELLE 9, balaaaaaaaa....

K NGWASUMA nae alikuwepo lol....

No comments:

Website counter