Wednesday, December 29, 2010

HAPPYBIRTHDAY LOMANA TRESOR LUALUA, UNAMKUMBUKA LAKINI...


Leo ni siku ya kuzaliwa Mshambuliaji Nguli wa Congo LOMANA LUALUA ambaye ameshachezea timu kama vile Newcastle na Pothmonth za Uingereza na hivi ninavyoongea 'Mnuso' wa nguvu unaendelea kule Kinshasa akiwa amewaalika wageni mashuhuri na wanasoka maarufu barani Africa kama vile El hadji DIOF, SHAABAN NONDA, OKOCHA na SAMUEL ETO'O...

No comments:

Website counter