Mwanamuziki Nguli nchini DK REMMY ONGALLA ambaye juzi nilimripoti kwenye Blog hii kwamba ameshatoka Hospital na kurudishwa Home, amefariki usingizini usiku wa jana saa 9 usiku kwa ugonjwa wa kisukari. Utaratibu wa mazishi bado haujajulikana na tutaendelea kujuzana zaidi kinachoendelea kadri muda unavyokwenda...
No comments:
Post a Comment