Tuesday, November 2, 2010

KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA, BURIANI MZIRAY...


'Mwanangu' MZIRAY leo tumekuaga na ndio siku yangu ya mwisho kuuona mwili wako, na sina mengi ya kusema rafiki na kaka yangu wewe wa 'Hiyari' ila nakuomea kwa mungu akuweke mahali pema peponi, Mbele wewe sisi nyuma yako!

Mwili wa Marehemu 'Super Coach' MZIRAY ukiwa ndani ya Jeneza lake wakati wa misa ya kumuombea iliyofanyika leo mchan ndani ya viwanja vya Biafra Kinondoni.
Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF LEODGAR TENGA akiuaga mwili wa rafiki yake MZIRAY mchana huu...

No comments:

Website counter