

FERRE GOLLA alikuja na mwimbaji wake mdogo kiumri kuliko wote na kipenzi cha wengi aitwae SHIKITO <> ambaye alitia fora kwenye onyesho la jana usiku ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Hall maeneo ya Upanga jijini Dar...

Wapiga vyombo wake kwakweli walionesha utofauti kwa kumwaga SEBENE la nguvu na kupagawisha watu ukumbini ipasavyo...








No comments:
Post a Comment