Tuesday, October 19, 2010

JAMANI HAYA MANENO NI YA KWELI KUHUSU HUYU MSHINDI WA BBA UTI...


Baada ya UTI wa NIGERIA kushinda lile Shidano maarufu barani AFRICA la BIG BROTHER, kumetokea Vijimaneno vya mjini vinavyosema kwamba jamaa kwao ni washirikina 'Haatwarii' kiasi kwamba eti walimtoa 'kafara ya kifo' babake mzazi na yeye kuambiwa asiende kuzika na kisha mwili wa Babake kukaushwa na kutozikwa hadi leo hii kumsubiri yeye arudi kurithi 'mikoba' ya babake ambaye alikuwa 'kikagu' maarufu uko kwao daaah...

No comments:

Website counter