Wednesday, October 6, 2010

CAMERA YANGU MTAANI WIKI HII ILIWABAMBA HAWA APA...


Nikiwa na mzee wa 'Jahazi' Clouds fm, Captaiiiin GADNA G HABASH...

Yaap yap hapa ni maeneo ya Zizzou Fashione, kuanzia kushoto ni Mzee ZAHIR ZORRO, ANGEL wa Zizzou na Mshambuliaji wa Simba MUSSA HASSAN 'MGOSI'...

Nikiwa na maswahiba wangu kuanzia kushoto ni SOGGY DOGG, JOSLINE,MIE,MWANA FA na DJ BIKE wa Radio one...

Nikipozi na Mshkaji wangu IRENE UWOYA, mcheza filamu 'Nyoko' wa kike Bongo...

Tukishow Love pamoujaa, kuanzia kulia ni LADY JAY DEE, MIE, SHEMEJII kwa DJ BON LOVE na MECKY malovee...

No comments:

Website counter