Tuesday, September 28, 2010

USO KWA USO NA B' BAND JUZI...


Huyu ndie 'mzee kijana' mkongwe wa muziki wa Dansi nchini mzee ZAHIR ALLY ZORRO ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki BANANA ZORRO na mdogo wake MAUNDA ZORRO! Yaani ukimkuta amekaa na wanawe na huwajui basi waweza kudhani ni mtu na wadogo zake na sio wanawe maana wanaongea na kutaniana kama marafiki na sio Baba na watoto wake! Sasa ukitaka kuamini maneno yangu we angalia iyo picha apo jinsi alivyovaa kuanzia nguo na vidani kila sehemu weeeeeee Chezeeaaaaa! Ndio maana mie sikuzote namwita 'mzee kijana' maana hataki kujizeesha kabsaaaa....

Apa mzee ZORRO akiwapagawisha wapenzi wake wa B' BAND juzi pale Sweeteazy Osterbay jijini Dar, ilikuwa hatari sanaaa...

Wakereketwa wa B' BAND, NASSER na rafiki yake...

Kiongozi wa B' BAND Banana Zorro akiwapawisha wapenzi wake kwa sauti yake mwananaaa....

Hapa nikiwa na baba na mwana, BANANA ZORRO NA babake Mzee ZAHIR ZORRO...

2 comments:

Anonymous said...

Naomba kuuliza huyu Nasser "HALFCAST"?
Maana namuona sana kwenye kampani zetu "wachinja kuku kwa mdomo".

Anonymous said...

Si rizki huyo?

Website counter