Tuesday, September 21, 2010

TWANGA PEPETA WALIVYOMWAGA RADHI JUZI NDANI YA MANGO GARDEN KINONDONI...


Huyu ni Rapa SAULO FERGUSON, ndiye mtunzi wa Style inayotamba nayo Twanga Pepeta iitwayo 'SUGUA KISIGINO', ni rapa mbunifu na asipobweta atazidi kuwika zaidi ila alichoniuzi ni kitendo chake cha kutelekeza watoto wake MAPACHA ambao amefanana nao kama chupa za Bia lol...

2 comments:

Anonymous said...

Acha umbeya na wewe?alichofanya ni kuachana na mama watoto wake na kids wake anawatunza kama kawaida!lol

Anonymous said...

alichka kukaa kibarazani kwa baba shukuru kwikwikwi!!!

Website counter