Wednesday, September 29, 2010

SIKU NILIPOAMUA KWENDA MCHANGANI KUPIGA 'TIZI'


Kwa wengi msionijua vizuri, leo nawapa siri kwamba mie ni Footballer mzuri sana yaani huwezi kuamini siku ukinikuta nacheza utashangaa sanaa! Hapa napasha misuli moto tayari kuingia kukipiga 'Mchangani' kama kawaida yangu kila ninapopata muda...

Eti huyu dogo akaja kunikaba, basi weee nikamwondoa njiani kudadadekiii....

Natambuaka mabeki kama kawaida yau...


4 comments:

Anonymous said...

haaaa haaaaa haaaa duh hi kali ben...hebu sema mlifungwa mangapi cku hiyo? yan na huo urefu km mchezaji kweli

Anonymous said...

haaaa haaaaa haaaa duh hi kali ben...hebu sema mlifungwa mangapi cku hiyo? yan na huo urefu km mchezaji kweli

Anonymous said...

Mambo Ben? hivi hapo ni uwanja gani? katika picha ya kwanza naona mti kama mbuyu nyuma yako ikanikumbusha pale Garden.Bado wanapiga mpira pale?

Anonymous said...

Ben, unpoulizwa maswali hebu jaribu kujibu, hivi wewe unjua kweli maana ya kuwa na blog? au unfuata tu mkumbo?

Website counter