Friday, July 2, 2010

HILI NALO NENO BWANA...

Ivi tujiululize ni wangapi huwa wanaweza kutembea na wazazi wao kuanzia kwenye magari yenu au hata barabarani? na hapa msianze kusema ooh sio utamaduni wetu,wakati kuonesha upendo au kuwa karibu na familia yako especially wazazi wako hakuna Mwafrica wala Mzungu! Hapa pichani mwanamuziki Britney Spears anaonesha mfano kwa kwenda Lunch na babake mzazi, mwenye flana ya njano! Ukionesha ukaribu na wazazi wako utawafanya waishi miaka mingi zaidi yenye upendo na mambo yako mengi kukunyookea! Je mdau una lolote la kuongeza kwenye ishu hii...

No comments:

Website counter