Tuesday, June 1, 2010

Uzinduzi wa Bendi ya Extra Bongo na Mwanamuziki Adolph Dominguez wa WENGE MUSICA ya Congo ulivyokuwa...

Mimi, Mbonie Masimba na rafiki tukipoooziii siku iyo....
Ally Choki na MC wa shughuli siku iyo Maimartha wakitambulisha Album mpya ya Bendi ya Extra Bongo...

Nikiwa na Adolph Dominguez wa Wenge Musica...



Duuh watu wanajua kucheka bwana looh...



Mimi, shabiki, Adolph Dominguez na Maimartha...



2 comments:

Anonymous said...

mkiongoza kipindi na maimatha huwa nawapenda sana, nimefurahi kusikia umerudi mzigoni, ndio maisha kaka yangu, mm huwa nacheka sana nikikuangalia kwenye mkanda wa september 11, yani umeigiza kwa kiwango cha juu sana, kazi njema kaka, piga mzigo as long as siku hazigandi
Violet

Anonymous said...

hebu niambie kaka hicho kipindi huwa ni sa ngapi? mana niliwamis sana eatv

Website counter