Wednesday, June 9, 2010

MTANGAZAJI BORA WA MIONDOKO YA MWAMBAO NCHINI APATIKANA...

Mbunge wa Kinondoni DSM mh Idd Azan akitoa neno kuhitimisha shindano la kumtafuta Mtangazaji bora wa Miondoko ya mwambao uliofanyika ktk ukumbi wa Traventine Magomeni juzi ambapo Miriam Migomba wa TBC Radio aliibuke kidedea...
Miriam Migomba wa TBC radio akipongezwa na mshindi wa pili wa shindano hilo Dida wa Mchopsi na Mc wa shughuli hiyo Maimartha wa Jesse

Mh Idd Azan akifurahia jambo baada ya kuwakabidhi zawadi washindi...1 comment:

Anonymous said...

ben kwanza hongera
Pili ushauri maandishi madogo sana chini ya picha ukitaka kusoma twapata shida sana ple rekebisha hilo

Website counter