 Yaani Bongo bidhaa zinapangwa mpaka barabarani duuh, sasa kwa mtindo huu mji utakuwaje msafi jamanii?  na hawataki kuondoka maana wserikali inawapa maeneo ambayo sio mazuri kwa biashara kwaiyo wanagoma kwenda...
 Yaani Bongo bidhaa zinapangwa mpaka barabarani duuh, sasa kwa mtindo huu mji utakuwaje msafi jamanii?  na hawataki kuondoka maana wserikali inawapa maeneo ambayo sio mazuri kwa biashara kwaiyo wanagoma kwenda... Huu ndio uwanja wa Karume ambao Taifa Starz wanajinoa kuwakabili Brazil, nilifika nikakuta ndio wamemaliza mazoezi na wako kwenye basi wanarudi Hotelini kwao...
Huu ndio uwanja wa Karume ambao Taifa Starz wanajinoa kuwakabili Brazil, nilifika nikakuta ndio wamemaliza mazoezi na wako kwenye basi wanarudi Hotelini kwao... Hapa ni nje ya ofisi za Shirikisho la soka nchini TFF, cha ajabu nilipoingia ndani sijakuta kiongozi yoyote wa Shirikisho, wote walitoka kwenda ubalozi wa Brazil kufatilia ujio wa timu iyo ya Brazil na wamesahau kwamba tuna Game kali,ngumu na ya muhimu dhidi ya Rwanda tena kwao Kigali, sasa kwa mtindo huu sijui kama tutatoka kule Rwanda maana mawazo yoote watu yako kwenye mchezo na Brazil siku ya Juma3 usiku, kisa kina Kaka wanakuja na  fweza itaingia nyingi kishenzi maana kiingilio si laki 2 bwana...
 Hapa ni nje ya ofisi za Shirikisho la soka nchini TFF, cha ajabu nilipoingia ndani sijakuta kiongozi yoyote wa Shirikisho, wote walitoka kwenda ubalozi wa Brazil kufatilia ujio wa timu iyo ya Brazil na wamesahau kwamba tuna Game kali,ngumu na ya muhimu dhidi ya Rwanda tena kwao Kigali, sasa kwa mtindo huu sijui kama tutatoka kule Rwanda maana mawazo yoote watu yako kwenye mchezo na Brazil siku ya Juma3 usiku, kisa kina Kaka wanakuja na  fweza itaingia nyingi kishenzi maana kiingilio si laki 2 bwana...

 
2 comments:
nakubaliana na wamachinga kbs juu siku zote ukufanya biashara unaitega sehemu ambayo inalipa ila serikali inavowafanyia sio na kwa stil hii ni kweli piga uwa jiji haliwezi kuwa safi
Hey Ben hongera sana kwa kufungua Blog yako mimi binafsi napenda sana kuona baadhi ya macelebrity wa kibongo wanakuwa na mawazo ya kimaendeleo,Big up Man.hawa brazil wameleta ulaji kwa TFF so usitegemee watakuwepo hapo..yani Tanzania bwana tuombe mungu tu yani....Sasa sijui akija Yesu tutamouna kwa bei gani lol.
Post a Comment