Wednesday, June 16, 2010

MAKAMUZI YA TWANGA PEPETA JUZI YALIVYOKUWA...

Rapa mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta FERGUSON akirap kwa hisia kali, na huyu kijana ndio mbunifu wa ile Staili mpya ya kucheza ya Bendi hiyo iitwayo SUGUA KISIGINO...

Kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta mwanamama LUIZA MBUTU akiimba ktk onesho ilo la juzi...

KHALID CHOKORAA nae hakuwa nyuma kufanya makam uzi ya kufa m2 katika onesho ilo lililofana...

Wanenguaji wa kike wa Twanga Pepeta wakiongozwa na mkongwe LILIAN INTERNET kulia, wakimwaga mauno ya kufa m2 stejini...

Nao wanenguaji wa kiume walitia fora kwa shoo yao mpya waliyoitunga ivi karibuni...

No comments:

Website counter