Friday, June 18, 2010

CAMERA YANGU VIWANJANI ILIWABAMBA HAWA...


Warembo wa Mujini wakila pouzi kwenye Camera ya KINYAIYA'S BLOG, kulia ni mwigizaji maarufu wa Filamu nchini SHUMILETA...

Mwanamuziki wa Bongo Flava JAFFARAI akila pouzi huku akipuliza..... kwa raha zake atiiii...

Chec hawa Mapacha walivyofanana kama chupa za bia, yaani ni vifumu kuwatofautisha ukikutana nao uso kwa uso duuh ila uyo wa kulia ni mtundu na machachari zaidi ya mwenzie...

Nikiwa na mwimbaji wa AKUDO IMPACT TARCIS MASELLA aka 'joto' katikati, na rapa maarufu aliejiunga ivi karibuni na MACHOZI BAND ya Jide MAO SANTIAGO kulia...

No comments:

Website counter