Tuesday, June 15, 2010

HAYA TENA MACHO YETU YAKO KWA IVORY COAST JAMANI...

Baada ya ALGERIA na CAMEROON kutuuzi kwa kula vipigo, sasa macho yetu waafrica tunayatupa kesho kwa Tembo wa IVORY COAST watakaopepetana na URENO ya Christiano Ronaldo ili tujue kama waafrica kwa mwendo huu wa kuanza kwa vipigo tutapeleka timu Nusu Fainali kweli au laa maana huu ndio wakati wetu wa kujitutumua ukizingatia michuano inafanyika nyumbani Africa! Ebu tuwaangalia waivorien watafanya nini cha ziada na majina yao makubwa...

1 comment:

Anonymous said...

Ndugu yangu!
hayo maelezo ya unapoishi mbona yana utata??!! tunajua we ni wa Tz, hiyo UK wapi na wapi, acha hizo. fanya marekebisho ya maelezo yako, usituingize mjini

Website counter