Monday, May 31, 2010

Watu walivyojiachia AKUDO IMPACT weekend hii...

Mtangazaji Lulu Semagongo na mshkaji wakila poooozi...
Chips Kuku wa AKUDO akikata mauno Stejini...

waimbaji wa Akudo, katikati ni Tarcis Masella aka JOTO...



Mimi, Mr NICE na mchumba ake muigizaji Jini Kabulla tukila pooziiii...


Kiongozi wa AKUDO Christian Bella akiimba ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni...





Mnenguaji wa AKUDO akilia kwa hisia kali wakati akicheza duuuh....




Nikiwa na shabiki mkubwa wa AKUDO Pollo...







Weeweeeee mambo iko uku...








Rapa Totoo Ze BINGWA akighani...







Nikiwa na rafiki yangu mwanamuziki BANZA STONE...








4 comments:

Anonymous said...

samahani Ben, sijui nitaitwa mmbea, sijui mnoko, sijui mtaniitaje, lakini my sms itakuwa delivered
hy Mr. nice kaungua usoni na maharage? au ndio kutaka uzungu? mh! amekuwa mbaya jamani lo! hivi kwanini hata nyie kaka zetu hamka mkashauriana, mh! yani nimeshtuka kweli nilivyomuona
MWAMBIE AACHE MARA MOJA
OVER
Violet

Anonymous said...

samahani beny najua utanisaidia kunifahamisha huyo mnenguaji wa akudo kwanini alikuwas analia? alianguka akaumia au? pls naomba nijibu mana naipenda sana akudo

Anonymous said...

Aksante.. Maana mie pia nimestuka sana na Mr Nice Kha!! apa tutapona kweli..Mungu tusaidie waja wako tunateketea, khaa!!!

Anonymous said...

eeh makubwa,cjakuelewa Anonym hapo juu,Tunateketea unamaanisha nini? amenaniiii au? me nashauri abadilishe mafuta tu,baada yakupa yale mafuta yetu atumiie AYU for MEN..
Over..

Website counter