tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post7372357955807457436..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: JAMANI TUMSAIDIE MTOTO HUYU ANAYETAABIKA...KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-42649610720345816422011-09-15T12:59:31.978+03:002011-09-15T12:59:31.978+03:00imenisikitisha sana hii habari kama mzazi lazima u...imenisikitisha sana hii habari kama mzazi lazima uumie,so far ben umefikia wapi katika kumsaidia huyu mama?naimani kama utaanzisha page itakayomuhusu yeye kuchangiwa au ukaitangaza na kumuombea misaada katika makampuni hiyo hela ni ndogo sana am sure watu wenye uwezo watajitokeza kumsaidia na its better now ambako bado mdogo isitoshe tusijekujilaumu please do something for the sake of that child wengine tutafanya tutakachoweza
kuna alot of people maarufu,alot of blogs,wasanii na watu wa kawaida watakaojitolea kumsaidia pia tigo hua wana ile special programme ya tigo they announce special number ambayo watu wanachanga any amount just kwa kutuma msg if people watakua aware of this atasaidia while the situation can stil be solved
thanksAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-8150358982327767412011-07-27T12:43:14.072+03:002011-07-27T12:43:14.072+03:00kiukweli kama una mtoto lazima ulie,namshukuru mun...kiukweli kama una mtoto lazima ulie,namshukuru mungu sana kwa kunipa kiumbe kilichokamilika mpaka sasa.tumsaidie huyu mtoto,kumbuka hujafa hujaumbika!!!
hii gharama ni ndogo sana twaweza msaidia.....tujitolee kumsaidia maisha yake naye awe mtu akisimama mbele za watu.

mama zariqueAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-37918768870810204302011-07-24T22:41:03.741+03:002011-07-24T22:41:03.741+03:00imenisikitisha,nchi nyengine zilizoendelea unapewa...imenisikitisha,nchi nyengine zilizoendelea unapewa vifuko maalum vinakaa vizuri kwenye tumbo,na kila baada ya muda unavibadilishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-1298820806506443452011-07-19T11:50:50.218+03:002011-07-19T11:50:50.218+03:00Kinyaiya sambaza ujumbe huu kwenye blogs na vyombo...Kinyaiya sambaza ujumbe huu kwenye blogs na vyombo vingine vya habari.

Hiyo gharama ya matibabu, bado malazi, usafiri nk. Jaribu kufanya utafiti zaidi, ili watakaochangia wapate ujumbe uliokamilika.Anonymoushttp://www.tanganyika2day.blogspot.comnoreply@blogger.com