tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post7141572250103122554..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: NAWALAANI ENYI VIBAKA MLIOMVAMIA NA KUMUUMIZA '20 PERCENT' LOOOH....KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-65341142426674579832010-11-20T16:21:39.432+03:002010-11-20T16:21:39.432+03:00Watanzania hawataki mtanzania mwenzao aendelee mbe...Watanzania hawataki mtanzania mwenzao aendelee mbele kama hawa vibaka kawakosa nn huyu jamaa wakati yeye ni msanii tu, sijui useme nn kuhusu hawa vibaka ni watu si wa kuishi katika nchi yetu hii yenye amani na utulivu kama kuna uwezekano kuwajua ni kuwamaliza kabisa, hawana ubinadamu hata kidogo lakini atakulipia wataku fa kama mbwa barabarani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-16490140828553159812010-11-19T08:40:52.582+03:002010-11-19T08:40:52.582+03:00Kuna wimbo wake wa tamaa mbaya ameongelea kuhusu w...Kuna wimbo wake wa tamaa mbaya ameongelea kuhusu wezi kama ufuatavyo<br /><br />" Najaribu kukuasa wewe kijana jaribu kuacha mambo ya kuibiana na kama haiwezekani siku tukionana nitakiweka mbali kisimu changu cha mchinaaaa, mwenzenu naona noma polisi kupelekanaaaaa"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-9291024906718745692010-11-18T09:32:03.031+03:002010-11-18T09:32:03.031+03:00Beny thanks kwa taarifa ya huyu kaka nampa pole sa...Beny thanks kwa taarifa ya huyu kaka nampa pole sana na kuwalaani vibaka hao, ila Beny 20% amewahi kuhojiwa na sauda mwilima mara moja tu, ukweli ni kwamba jamaa sio bishoo hata ungebahatika kuangalia kipindi cha sauda yaani ni mtu makini anaongea kiswahili chake fasaha sio wengine wakig'aa kidogo wats zinakuwa nyiiiiiiiingi sasa Beny si umualike kwenye kile kipindi chetu na maimartha? ukweli kijana yuko juu sana basi tu ni vile sio bishoo! big up 20% tuwekee na wimbo wake TAMAA MBAYA basi Beny. Mama Richie MoshiiAnonymousnoreply@blogger.com