tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post6210385201222797482..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: HAYA NDI MAMBO KADHAA USIYOYAFAHAMU KUHUSU 'KOFFIE OLOMIDE', YASOME CHINI APO...KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-85347223031864490152011-09-17T08:46:21.848+03:002011-09-17T08:46:21.848+03:00mbona umezibana hizo link alizoweka huyo mwana con...mbona umezibana hizo link alizoweka huyo mwana congo hapo juu we ben kinyaiya?sasa tutatazamaje hizo video tuone koffi akimzawadia hiyo gari babake cindy,isije kuwa ni uzushi jazz band,fanya mpango uzifungue tuzione au ziweke hadharani bloguni tutiririke nazo,nimetembelea hiyo blog sport starehe,kweli inatisha kwa habari za wanamuziki wa zaire..lakini za wabongo hamna sasa sijui inaendeshwa na wacongo ama vipi,ila kweli wako well informed pande hizompita njianoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-33649538474332263122011-09-16T22:21:43.789+03:002011-09-16T22:21:43.789+03:00UHUSIANO WA KOFFI NA CINDY LE COEUR MBONA SIO SIRI...UHUSIANO WA KOFFI NA CINDY LE COEUR MBONA SIO SIRI TENA KAKA,UKO WAZI NA KOFFI KISHAMTOLEA MAHALI BI MDOGO,TEMBELEA SPORTSTAREHE.WORDPRESS.COM,Wana habari nzuri sana za hawa bana congo.Tazama hapa chini koffi akimzawadia baba yake CINDY gari la kifahari aina ya Jaguar

http://www.youtube.com/watch?v=dFX775Qx2ik&feature=related

Hapa Koffi na cindy wake wakimuimbia mamaa Edita omar bongo a.k.a.edita sassou nguesso,edita mwana ya sassaou ambae alikua ni first lady wa gabon yani mke wa rais omar bongo wa huko,na pia alikua ni binti wa kumzaa wa rais denis sassou ngueso wa congo brazaa,huyu mama alikua kipenzi cha wanamuziki,huu wimbo ni wa maombolezo kufuatia kifo chake,i luv the song binafsi
http://www.youtube.com/watch?v=Sz-2SYN_GXY&feature=related

Hapa bana QL Waliiteka Airport ya Paris kwa muda,mcheck koffi na cindy watakavoondoka hapo airport in style

http://www.youtube.com/watch?v=Wo2vRdMoKzI&feature=relatedHadj le jbniquenoreply@blogger.com