tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post4619963013267366554..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: PICHA HII IMENIPELEKA MBALI NA 'KUNIHUDHUNISHA' SAANAAA KIMAWAZO....KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-48507966911487897512010-11-20T21:45:06.577+03:002010-11-20T21:45:06.577+03:00MM mwenye nilisha iyona mara nyingi sn nakila niki...MM mwenye nilisha iyona mara nyingi sn nakila nikiitazama ninalia moyo unauma sana na ninashidwa kupata nguvu......Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-14244336103869224302010-11-19T08:46:48.146+03:002010-11-19T08:46:48.146+03:00mpiga picha hii alichaguliwa kama amepiga picha bo...mpiga picha hii alichaguliwa kama amepiga picha bora ya mwaka lakini aliwahi kuhojiwa kwa nn akumsaidia huyo mtoto maana baada ya kupiga picha alimwacha na kwenda zake na inasemekana mtoto huyu alikufa. Baadae mpiga picha alijiua kwa msongo wa mawazo baada ya ulimwengu kumshambulia kuwa alifanya ukatili kumwacha binadamu mwenzio katika hali kama ile wakati alikuwa na uwezo wa kumwokoaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-5929719179121347102010-11-11T05:34:11.582+03:002010-11-11T05:34:11.582+03:00Picha hii ni mojawapo ya picha za muhimu sana kati...Picha hii ni mojawapo ya picha za muhimu sana katika karne iliyopita na ilisaidia katika kuuamsha ulimwengu wa Kimagharibi kuhusu janga la njaa lililokuwa likiikumba Ethiopia katika miaka ya 70 na 80. Ilitonesha milizamu nyingi na misaada ikaanza kumiminika. Hata hivyo sijui kama tumejifunza lolote kwani mambo bado ni yale yale - hakuna mikakati ya maana ili kuhakikisha kwamba hali kama hii haijirudii tena.<br /><br />Kupitia katika picha hii pia waweza kuuona msimbo tata wa kimaumbile. Mtoto anakaribia kukata roho kwa kukosa chakula na wakati huo huo tai naye anasubiri ajipatie chakula. Ndiyo maisha ati!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.com