tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post1297569445767021194..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: JAMANIII EEEH NAULIZA IVII...KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-10616819513022028952010-11-14T17:16:14.412+03:002010-11-14T17:16:14.412+03:00Nijuavyo mimi hayo yalikuwa ni mojawapo ya mambo w...Nijuavyo mimi hayo yalikuwa ni mojawapo ya mambo waliyokubaliana katika ule mwafaka uliokuwa na lengo la kumaliza mzozo wao wa kisiasa. <br /><br />Kuwa na makamu wawili nadhani inaonyesha kwamba CCM hawakuwa na imani na Maalim (hawapendi serikali ya mseto) na pengine walikubali tu kwa shingo upande. Sitashangaa kama Maalim atakuwa tu pale kama "kivuli" bila mamlaka wala "meno" ya kupitisha maamuzi yo yote yenye kutathmini na kuathiri mwelekeo wa nchi. Na walipa kodi ndiyo wanaishia kubebeshwa mzigo usio wa lazima. Wanasiasa na siasa zao ati!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-5704945032970338432010-11-13T22:39:12.506+03:002010-11-13T22:39:12.506+03:00Hii biashara wliishaichemsha zamani,kungekuwa na r...Hii biashara wliishaichemsha zamani,kungekuwa na raisi mmoja tu bila kujali lazima atokee wapi.Anonymousnoreply@blogger.com